Ufafanuzi wa dara katika Kiswahili

dara

kitenzi elekezi

  • 1

    gusa polepole na juujuu.

  • 2

    jaribu kitu au mtu.

Asili

Kaj

Matamshi

dara

/dara/