Ufafanuzi wa darabi katika Kiswahili

darabi

nominoPlural madarabi

  • 1

    tunda la mdarabi lililo kama pera dogo.

Asili

Kaj

Matamshi

darabi

/darabi/