Ufafanuzi msingi wa darasa katika Kiswahili

: darasa1darasa2

darasa1

nomino

 • 1

  chumba ambamo mafunzo hutolewa shuleni.

 • 2

  kikundi cha wanafunzi wanaopata mafunzo pamoja.

Asili

Kar

Matamshi

darasa

/darasa/

Ufafanuzi msingi wa darasa katika Kiswahili

: darasa1darasa2

darasa2

nomino

 • 1

  ‘Darasa ya Kiswahili’
  zoezi
  and → tamrini

 • 2

  mafunzo ya somo fulani shuleni.

 • 3

  mafunzo, agh. ya Uislamu, yanayotolewa msikitini au mahali maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

darasa

/darasa/