Ufafanuzi wa darubini katika Kiswahili

darubini

nominoPlural darubini

  • 1

    chombo kinachofanya vitu vilivyo mbali vionekane karibu na vidogo vionekane vikubwa.

Asili

Kaj

Matamshi

darubini

/darubini/