Ufafanuzi msingi wa dasi katika Kiswahili

: dasi1dasi2

dasi1

nominoPlural dasi

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba iliyoshonewa katika pindo za tanga la chombo ili kulifanya liwe madhubuti na ambalo hutofautishwa kutokana na mahali paliposhonwa.

  ‘Dasi ya bara’
  ‘Dasi ya chini’
  ‘Dasi ya joshini’
  ‘Dasi ya demani’

 • 2

  Kibaharia
  uzi unaotumiwa kushonea tanga.

Asili

Kaj

Matamshi

dasi

/dasi/

Ufafanuzi msingi wa dasi katika Kiswahili

: dasi1dasi2

dasi2

nominoPlural dasi

 • 1

  ugonjwa mmojawapo unaompata punda.

Asili

Kaj

Matamshi

dasi

/dasi/