Ufafanuzi wa Dayani katika Kiswahili

Dayani

nominoPlural Dayani

Kidini
  • 1

    Kidini
    mojawapo ya majina ya mwenyezi Mungu ya kuonyesha sifa ya kuwa yeye ndiye mlipaji na mwenye kuhukumu.

Asili

Kar

Matamshi

Dayani

/dajani/