Ufafanuzi wa dayoksidi ya kaboni katika Kiswahili

dayoksidi ya kaboni

nominoPlural dayoksidi ya kaboni

  • 1

    gesi ambayo hutolewa na viumbe wanapotoa pumzi nje au na moshi kutoka mabomba ya motokaa, karakana, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

dayoksidi ya kaboni

/dajɔksidi ja kabɔni/