Ufafanuzi wa dayuthi katika Kiswahili

dayuthi

nomino

  • 1

    mtu asiyekuwa na wivu na mkewe.

Asili

Kar

Matamshi

dayuthi

/dajuθi/