Ufafanuzi wa debwani katika Kiswahili

debwani

nominoPlural debwani

  • 1

    kitambaa cha kilemba, agh. cha hariri, chenye mistari myekundu na kahawia.

    rehani

Asili

Kaj

Matamshi

debwani

/dɛbwani/