Ufafanuzi msingi wa dege katika Kiswahili

: dege1dege2dege3

dege1

nominoPlural dege

 • 1

  uumwaji wa tumbo au udondoshaji wa chakula mkononi ambao unaaminiwa na baadhi ya watu kuwa unasababishwa na kuangaliwa kwa jicho baya na mtu anayetamani kile kinacholiwa; jicho la husuda.

  ‘Tia dege’
  ‘Toa dege’
  zongo

Matamshi

dege

/dɛgɛ/

Ufafanuzi msingi wa dege katika Kiswahili

: dege1dege2dege3

dege2

nominoPlural dege

 • 1

  aina ya nondo.

Matamshi

dege

/dɛgɛ/

Ufafanuzi msingi wa dege katika Kiswahili

: dege1dege2dege3

dege3 , degedege

nominoPlural dege

 • 1

  ugonjwa wa watoto unaofanana na kifafa na husababishwa na homa kali.

  babu

Matamshi

dege

/dɛgɛ/