Ufafanuzi wa dekeza katika Kiswahili

dekeza

kitenzi elekezi

  • 1

    achia mtoto afanye lolote atakalo bila kumwonya hata akikosa.

    endekeza, engaenga

Matamshi

dekeza

/dɛkɛza/