Ufafanuzi wa deko katika Kiswahili

deko

nominoPlural deko

  • 1

    hali ya kutaka kutendewatendewa mambo.

    udekaji

Matamshi

deko

/dɛkɔ/