Ufafanuzi wa dekua katika Kiswahili

dekua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    angusha kwa pigo moja k.v. ndege kwa jiwe; angua tunda kwa fimbo.

  • 2

    piga kwa ghafla na kwa mkwaruzo.

Matamshi

dekua

/dɛkuwa/