kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha
- 1
tembea taratibu kama anavyofanya mtoto mdogo anayeanza kwenda.
- 2
chechemea kama mgonjwa.
nominoPlural madema
- 1
mtego wa samaki uliofumwa kwa matete au vijiti.
mgono