Ufafanuzi wa dengelua katika Kiswahili

dengelua

nomino

  • 1

    pombe inayotengenezwa kwa maji ya miwa.

    lusuo

Matamshi

dengelua

/dɛngɛluwa/