Ufafanuzi wa dengu katika Kiswahili

dengu

nominoPlural dengu

  • 1

    mbegu jamii ya kunde za rangi ya manjano; nafaka za rangi ya manjano zilizo jamii moja na choroko.

    adesi

Asili

Kaj

Matamshi

dengu

/dɛngu/