Ufafanuzi wa deni katika Kiswahili

deni

nominoPlural madeni

 • 1

  kitu anachodaiwa mtu.

  ‘Lipa deni’
  mkugo

 • 2

  kitu kilichoahidiwa.

  methali ‘Ahadi ni deni’

Asili

Kar

Matamshi

deni

/dɛni/