Ufafanuzi wa deraya katika Kiswahili

deraya

nomino

  • 1

  • 2

    gari lenye bodi ya chuma, hasa linalotumiwa kuzuia hujuma za uvamizi wa silaha na hutumiwa kuhifadhi na kupeleka fedha za benki.

  • 3

    gari la vita la jeshi lililotengenezwa kwa chuma kuzuia mashambulizi ya risasi na pia hubeba silaha za vita.

Asili

Kar

Matamshi

deraya

/dɛraja/