Ufafanuzi wa dereli katika Kiswahili

dereli

nominoPlural dereli

  • 1

    kitambaa madhubuti ambacho hutumika kushonea suruali.

Asili

Kng

Matamshi

dereli

/dɛrɛli/