Ufafanuzi wa dereva katika Kiswahili

dereva

nominoPlural madereva

  • 1

    mwendeshaji wa vyombo vinavyosafiri nchi kavu k.v. treni, trekta au motokaa.

  • 2

    mtu aliyeajiriwa kuendesha gari.

Asili

Kng

Matamshi

dereva

/dɛrɛva/