Ufafanuzi wa desa katika Kiswahili

desa

kitenzi sielekezi

  • 1

    jionyesha kwa watu; ringa kwa ajili ya kitu ulichonacho.

    tia mikogo

Matamshi

desa

/dɛsa/