Ufafanuzi wa deski katika Kiswahili

deski

nominoPlural madeski

  • 1

    meza inayotumiwa na wanafunzi shuleni ili kuwekea vitabu na kalamu zao na kuandikia.

    dawati

Asili

Kng

Matamshi

deski

/dɛski/