Ufafanuzi wa deste katika Kiswahili

deste

nomino

  • 1

    sahani kubwa au dishi la kuwekea halua.

Asili

Ktu

Matamshi

deste

/dɛstɛ/