Ufafanuzi msingi wa desturi katika Kiswahili

: desturi1desturi2

desturi1

nomino

 • 1

  jambo la kawaida linalotendwa kila siku.

  mazoea, ada, kaida

 • 2

  ‘Kama desturi’
  ‘Fuata desturi’
  kanuni

Asili

Kaj

Ufafanuzi msingi wa desturi katika Kiswahili

: desturi1desturi2

desturi2

nomino

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  boriti inayofungiwa tanga la chombo ili iweze kutwekwa na kutuliwa kwa kuirekebisha mlingotini.

Asili

Kaj

Matamshi

desturi

/dɛsturi/