Ufafanuzi wa deuli katika Kiswahili

deuli

nominoPlural deuli

  • 1

    nguo ya kufungia jambia kiunoni.

  • 2

    kitambaa kama kitambi au shuka cha kufunikia jeneza.

    sabaiya

Matamshi

deuli

/dɛwuli/