Ufafanuzi wa dezo katika Kiswahili

dezo

nominoPlural dezo

  • 1

    kitu kinachopatikana bila malipo yoyote.

    bure, bwerere

Matamshi

dezo

/dɛzɔ/