Ufafanuzi wa dhabihi katika Kiswahili

dhabihi

kitenzi elekezi

  • 1

    chinja nyama kwa ajili ya sadaka, kafara au tambiko.

Asili

Kar

Matamshi

dhabihi

/├░abihi/