Ufafanuzi wa dhabihu katika Kiswahili

dhabihu

nomino

  • 1

    kitu kilichotolewa sadaka au mnyama aliyechinjwa kwa ajili ya sadaka, mizimu au tambiko.

    kafara

  • 2

    mahali pa kuchinjia wanyama.

Asili

Kar

Matamshi

dhabihu

/├░abihu/