Ufafanuzi wa dhalilisha katika Kiswahili

dhalilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu kuwa duni; fanya mtu kuwa mnyonge.

    dhili, nyanyasa

Matamshi

dhalilisha

/ðalili∫a/