Ufafanuzi wa dhamira katika Kiswahili

dhamira

nominoPlural dhamira

  • 1

    kiini cha jambo au habari iliyosimuliwa ama kuandikwa, hasa katika fasihi.

  • 2

    jambo analokusudia mtu kufanya.

    nia, lengo, kusudio

Asili

Kar

Matamshi

dhamira

/ðamira/