Ufafanuzi wa dhana katika Kiswahili

dhana

nominoPlural dhana

  • 1

    fikira inayoeleza jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

dhana

/ðana/