Ufafanuzi wa dhani katika Kiswahili

dhani

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fikiri bila ya kuwa na hakika.

    shuku, fikiri, tuhumu, fikiria, hesabu

Asili

Kar

Matamshi

dhani

/ðani/