Ufafanuzi wa dharura katika Kiswahili

dharura

nominoPlural dharura

  • 1

    shughuli au jambo la haraka linalotokea bila ya kupangwa au kutazamiwa.

    ‘Mkutano wa dharura’
    ‘Kikao cha dharura’

Asili

Kar

Matamshi

dharura

/ðarura/