Ufafanuzi wa dhati katika Kiswahili

dhati

nomino

 • 1

  nia thabiti ya kutenda jambo; moyo usiositasita.

  makini

 • 2

  nafsi ya kitu, jambo au mtu.

 • 3

  hakika

Asili

Kar

Matamshi

dhati

/├░ati/