Ufafanuzi msingi wa dhii katika Kiswahili

: dhii1dhii2

dhii1

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    ondokwa na nguvu.

    konda, dhoofu, fifia, nywea, sinyaa

  • 2

    kuwa na tabu au shida.

    teseka

Ufafanuzi msingi wa dhii katika Kiswahili

: dhii1dhii2

dhii2

nominoPlural dhii

  • 1

    hali ya kupotewa na nguvu au kudhoofika.

Matamshi

dhii

/ði:/