Ufafanuzi wa Dhilkaadi katika Kiswahili

Dhilkaadi, Dhulkaada

nomino

  • 1

    Kidini
    mwezi wa kumi na moja katika kalenda ya Kiislamu.

  • 2

    Mfungo Pili.

Asili

Kar

Matamshi

Dhilkaadi

/├░ilka:di/