Ufafanuzi wa dhoofika katika Kiswahili

dhoofika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na afya mbaya kutokana na maradhi, shida au njaa.

Matamshi

dhoofika

/ðɔ:fika/