Ufafanuzi wa dhoofisha katika Kiswahili

dhoofisha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha afya kuharibika.

Matamshi

dhoofisha

/ðɔ:fi∫a/