Ufafanuzi wa dhoofu katika Kiswahili

dhoofu

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ishiwa na nguvu au afya.

    dhii, konda, nywea, sinyaa, fifia

Asili

Kar

Matamshi

dhoofu

/ðɔ:fu/