Ufafanuzi wa dhuha katika Kiswahili

dhuha

nominoPlural dhuha

Kidini
  • 1

    Kidini
    wakati baina ya mawio na adhuhuri.

  • 2

    Kidini
    swala za Kiislamu zinazoswaliwa wakati huo.

Asili

Kar

Matamshi

dhuha

/ðuha/