Ufafanuzi msingi wa dhuli katika Kiswahili

: dhuli1dhuli2

dhuli1

nominoPlural dhuli

  • 1

    mtu dhaifu au aliyeteseka.

    dhaifu

Asili

Kar

Matamshi

dhuli

/ðuli/

Ufafanuzi msingi wa dhuli katika Kiswahili

: dhuli1dhuli2

dhuli2

nominoPlural dhuli

  • 1

    jambo lenye kukatisha tamaa.

Matamshi

dhuli

/ðuli/