Ufafanuzi wa dhuru katika Kiswahili

dhuru

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    haribu afya au uzuri.

    haribu, hasiri

  • 2

    leta maafa, hasa kwa sababu ya kutojali miiko fulani.

Asili

Kar

Matamshi

dhuru

/ðuru/