Ufafanuzi wa dhurubu katika Kiswahili

dhurubu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

kishairi
  • 1

    kishairi piga kwa nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

dhurubu

/ðurubu/