nominoPlural difu
- 1
mfupa wa kombe ambao zamani ulitumiwa kama ubao wa kuandikia.
nominoPlural difu
- 1
kitu kama wavuwavu unaoshikilia kuti la mnazi kwenye shina.
- 2
nominoPlural difu
- 1
kitu kama tufe kinachokaa katikati ya ekseli ya gari kwenye magurudumu ya nyuma au ya mbele.
Asili
Kng