Ufafanuzi wa digidigi katika Kiswahili

digidigi

nomino

  • 1

    paa mwenye umbo dogo.

    chesi

Asili

Kng

Matamshi

digidigi

/digidigi/