Ufafanuzi wa dikrii katika Kiswahili

dikrii

nominoPlural dikrii

  • 1

    amri inayotoka kwa viongozi nchini, agh. bila ya kupitishwa na bunge kuwa sheria.

    amri, hukumu

  • 2

    sharti

Asili

Kng

Matamshi

dikrii

/dikri:/