Ufafanuzi wa dikteta katika Kiswahili

dikteta

nominoPlural madikteta

  • 1

    mtu anayetawala nchi kwa amri yake peke yake bila ya kushauriwa.

  • 2

    mtu mwenye tabia ya kutaka lifanywe lile analosema bila ya kupingwa.

Asili

Kng

Matamshi

dikteta

/diktɛta/