Ufafanuzi wa dimbwi katika Kiswahili

dimbwi

nomino

  • 1

    sehemu ya ardhi iliyochimbika au kubonyea na kuhifadhi maji, agh. ya mvua.

    bwawa dogo

Matamshi

dimbwi

/dimbwi/