Ufafanuzi msingi wa dindia katika Kiswahili

: dindia1dindia2

dindia1

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    inama kidogo na kuinuka hasa wakati wa kucheza ngoma.

Matamshi

dindia

/dindija/

Ufafanuzi msingi wa dindia katika Kiswahili

: dindia1dindia2

dindia2

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    bonyea kwa ardhi au mahali pamoja na kutoa sauti wakati wa kukanyaga.

Matamshi

dindia

/dindija/