Ufafanuzi wa dingi katika Kiswahili

dingi

nominoPlural dingi

  • 1

    mtu, agh. mwanamume, mwenye umri mkubwa, uwezo wa mali na madaraka.

  • 2

    jina la kificho kumrejelea mzazi wa kiume.

Matamshi

dingi

/dingi/